• Marketing in 2019

  ukuaji wa shughuli za biashara kwenye tanzania ya viwanda kumeongeza gharama za kuendeshea biashara asa gharama za marketing(kutafuta masoko).wavu digital inakuwezesha kuchagua njia nzuri na sahihi ya kukuza na kuendesha biashara yako kwa gharama nafuu zaidi

 • Digital marketing

  sababu kuu inayoifanya digital marketing kuwa bora zaidi ya njia nyingine ni uwezo wa kukupa taarifa za matangazo yako.taarifa hizi ni kama vile idadi ya watu walio ona tangazo,umri na idadi ya mbadiliko wa watangaziwa kuwa wateja(conversion).pia digital marketing inakuwezesha kuchagua eneo,aina na idadi ya watu wa kuwatangazia.

 • Online platforms

  website,blog,apps na program ni nyenzo muhimu za kuendeshea biashara yoyote ambapo vitu hivi hutumika kama nyenzo za mawasiliano baina ya biashara na wateja.wavu digital inatoa huduma za utengenezaji wa website,blog,computer program na mobile apps.

 • Graphics design

  pia tunatoa huduma ya kubuni picha na video kwaajili ya matangazo mbalimbali.

Welcome to our website

wavu digital is a business agency dealing with online business solutions such as digital marketing,web and app development,search engine optimazation and online business payments solutions.
 • Digital marketing

  • tunakuza biashara yako kupitia huduma za matangazo ya intaneti kwenye mitandao kama vile facebook,instagram,youtube,twitter na linkedin.
 • Search engine optimazation

  • SEO ni huduma inayokuwezesha kupata watembeleaji/wateja wengi kupitia search engines(vituo vya utafutaji) kama vile google,yahoo na bing. Read More
 • Web designing

  • tunabuni na kutengeneza tovuti za aina mbalimbali.pia tunatoa huduma bora ya hosting na web solutions.
 • Online payments solution

  • huduma hii inakuwezesha mmiliki wa biashara kupokea malipo online pia kulipia huduma mbalimbali zitolewazo online.malipo haya ni yale yafanywayo kupitia credit cards,paypal na mobile money. Read More
 • App development

  • tunatengeneza apps na programs za vifaa vyote kama vile simu na kompyuta
 • Graphics designing

  • huduma hii inakuwezesha mfanyabiashara kupata picha na video za kuvutia kwaajili ya matangazo na asset muhimu kama vile logo na nembo za biashara. Read More

Namna ya kutengeneza blog ya kukuingizia kipato (pesa) mtandaoni


Blogging
ni kitendo cha kutengeneza machapisho,taarifa,kurasa na matukio kwa kutumia intaneri kama media.

Mtu anayetengeneza blog ama kufanya blogging anaitwa blogger.
Mfano wa bloggers ni dj mwanga(djmwanga.com) beka boy (bekaboy.com) Ramso_pro (bongoempire.com , byforums.com , wavudigital.com) issa michuzi (michuziblog.com)

Blog inaundwa na nini?

1.domain
Hii ni prefix inayowakilisha blog mfano .com , .net , .org
Hii ni kusema kuwa domain ni jina(link kuu) la tovuti yako mfano djmwanga.com , bongoempire.com , tanzaniatech.com hizo ni domain.

2.Blog editor / blogging platform
Hii ni platform/tovuti unayotumia kutengeneza , kuedit ,kumanage na kucontrol blog yako ambapo sehemu hizi ni kama vile wordpress.com , blogger.com huku ndiko unaunda blog yako kisha unaiunganisha na domain yako ili ifanye kazi.
Kiufupi blog editor ndiko utakopost habari,nyimbo,taarifa na kurasa pia kusimamia tovuti yako kwa ujumla.
Wordpress ndiyo platform nzuri zaidi kulinganisha na zingine.

3.blog theme / template
Huu ni muonekano wa blog yako ikimaanisha huu ndio unawakilisha namna blog yako itakavyooneka pia vipengele vitajipangaje katika blog yako.

4.Hosting
Hapa ni sehemu ambapo mafaili ya blog yako yataifadhiwa pia blog editor yako / platform ambayo ni wordpress ndiko itakoshikiliwa na kuunganishwa na domain yako.
Hii inahipa blog uharaka wa kufunguka na huduma za ziada.
*Blog inaingizaje pesa ?*

Blog kama zilivyo media zingine njia kuu ya kuingiza pesa ni matangazo.

Matangazo haya huwa yanaoneka kwenye blog yako na utalipwa kadri watu watavyoingia na kuyaona.

(baada ya kutengeneza blog yako utaiunganisha na google adsense ambao wataonesha matangazo kwenye blog yako na kukulipa wewe kupitia bank/cheki au western union)

Njia zingine ni matangazo utakayopewa wewe mwenyewe na makampuni na wafanya biashara ili uwatangazie biashara zao kwa watembeleaji wako

Njia nyingine ni watu kukulipa hili uwawekee post zao mfano blog za mziki wasanii wanalipa pesa ili ngoma zao ziuplodiwe na zisambazwe ivyo ukimiliki blog ya mziki hii pia ni njia muhimu itakayo kulipa

Tazama mfululizo wa video za mafunzo  hapo chini


Somo litaendelea tazama video 👇👇
https://youtu.be/wk1yw3O4CH8

https://youtu.be/ydSoLdNoZFk
https://youtu.be/HL_GVFSyL3A

Jiunge na group lete la whatsapp kujifunza mengi
https://chat.whatsapp.com/JmLFhsS3XOhA7YkAVgvNbH
Share:

Pata youtube subscribers kwaajili ya channel yako sasa

Youtube ni site ya pili kwa ukubwa duniani ikitanguliwa na google.com.
Youtube ni tovuti ya kusambaziana video ambapo watu umiliki channeli ambapo wanaweka video na kuzisambaza.
Channeli izo upata wafuatiliaji(subscribers) ambao pia ni watazamaji wa kudumu wa channeli.


Leo tumewaletea ofa kwa wamiliki wote wa channel za youtube ambao wanahitaji subscribers kuanzia 1000 na kuendelea pia wanahohitaji views.
Tunatumia youtube hacking tool (yht) katika kukupatia active subscribers na real time views.
Tutafute kwa whatsapp -Ramso (0622308622) au 0763882381
Share:

Maelezo ya ofa ya mwezi septembaKufikia katikati ya mwezi septemba tumeamua kutoa ofa kwa wahitaji wa blog,tovuti(website),application na channel za youtube ambapo kila kimojawapo utatozwa kiasi cha Tsh 30000(elfu 30).

Mchanganuo ni kama ifuatavyo:-

BLOG
tunakutengenezea blog ikiwa na domain (.com) na hosting (sehemu ya kuhifadhi mafaili)
Blog hii ni kama vile muziki,michezo,habari,udaku na dini.
Gharama - 30000/=

TOVUTI (WEBSITE)
tunatengeneza website inayofanya kazi fulani mfano kukusanya taarifa,kubetisha(betting),biashara na nyinginezo. tovuti itakuwa na .com domain na hosting.
Gharama - 30000/=

Apps (application za simu)
Tunatengeneza apps za simu (smartphone) na kuziweka playstore.app hizi ni za kila aina mfano app ya kuchati kama whatsapp,photo editor,camera app na nyinginezo.
Pia app itawekwa google playstore na apple store.
Gharama-30000/=

YOUTUBE CHANNEL
tunatengeneza youtube channel ya kisasa itayokuwezesha kupata subscribers na views za kutosha.channel itatengenezwa na asset zake kama vile logo,art,intro na outro.
Gharama-30000/=

Pia wavu digital itakupa maelezo namna ya kutengeneza pesa(monetize) blog,tovuti,app na channel yako ili uweze kutengeneza faida na kukuza biashara yako.

Wasiliana nasi:-
                            0763882381
                             0622308622 (whatsapp)
                              wavudigitaltz@gmail.com
Share:

Search This site

Follow by Email